Shirika la Habari la Hawza - Mtume (s.a.w.w) amesema:
«أعدَلُ النّاسِ مَن رَضِی لِلنّاسِ ما یرضی لِنَفسِهِ، وکرِهَ لَهُم ما یکرَهُ لِنَفسِهِ.»
"Muadilifu zaidi miongoni mwa watu ni mwenye kuwapendelea watu yale anayoyapenda kwa ajili ya nafsi yake, na mwenye kuchukia (yasiwafike) watu yale anayochukia kwa ajili ya nafsi yake."
Man La Yahdhuruhu al-Faqih, Jz 4, uk 395
Maoni yako